SMS campaigns made in Tanzania
Ujumbe unaofika.
Matukio yanayofanikiwa.
Tuma mialiko, vikumbusho na taarifa za michango kwa kila mgeni—kwa usahihi, haraka na kwa jina lake.
Wedding campaign
128 recipients ready
Habari Amina, tunakukumbusha harusi ya Neema & John. Mchango wako: TZS 50,000.
✓ Delivered · 1 segment128 recipients ready
🇹🇿
Namba sahihi
Normalization ya namba za Tanzania, duplicate na invalid detection.
✦
Ujumbe binafsi
Tumia {name}, {amount} na {event}, kisha hakiki kila ujumbe.
✓
Bei wazi
Segments, gharama, service charge na VAT kabla ya malipo.